Nahisi mama watoto watu wamemfanya vibaya

Usimuwazie mabaya mkeo bhana hiyo hali ni ya kawaida kabisa kutokana na hili Joto la hapa Dar!Kitaalam kitu chochote kikipata joto kinatanuka hivyo hata 0713 ya mkeo imetanuka sababu ya hili joto!na kujamba kunasababishwa na gas kujaa tumbon sababu ya kula vyakula vyenye gas kwa wingi,kwa ushauri kitaalam unashauriwa uendelee tu kutumia hiyo Kabang ili joto likipungua pasije pakaziba!!
 
Daah pole yako mkuu watoto wa mjini washapita na hiyo barabara ya vumbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…