The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,053
- 1,232
Utamu wa raha kupeana,asa yeye alikuwa nakupigia tu siku zote ww hupigi inanoga kweli,unavyojisikia sasa ndivyo naye alikuwa akijisikia ulipokuwa hupigi,punguza presha na hisia mbaya,mtoto bado anakupenda sana tu,cha kufanya mrudishe kwenye mud kwa kumpigia simu bila kujali ni mara ngapi na kuongea naye maneno matamu,na kumwambia vile unamiss cm zake za mara kwa mara,na kuanzia hapo upunguze umwinyi wa kusubiri kupigiwa simu!
Hahaha!!! Hommieushazoe kudeka weye!
co hvo!unajua k2 ambacho hujakizoea lazma ukishangae mkuu.
he sasa mwanaume unangoja upigiwe au umepiga hakupokea
ulimpa hela ya vocha au unalialia tu huk JF
halafu unaonekana umeshazoea vya mdebwedo piga we kidume + ndevu bwana
mwanaume hasifiwi kupigiwa anasifiwa kupiga .....