Nahisi mke wangu anachepukaa! Jamani... ushauriii

Mzuka, me naona we ndiye ulie halibu, ushauri wangu tu fanya juu chini, urudishe mahusiano yako na mke wako. Kuwa mtu wa kutengeneza mambo, kubali umekosea na anza juhudi za kurudisha uhusiano wako.
 
Kumnyanyasa umnyanyase wewe, amepata wa kumpatia furaha unaanza kuhangaika.

Utampakiaje hawala na wife kwa wakati mmoja?
β€œEti ni gari langu, usinipangie”

Wewe kama sio Msukuma ni mhaya
 
Huna akili
 
Pole kwa changamoto ndio ule usemi mtu huvuna alichopanda....Hukupanda upendo,masikilizano, ushirikiano pale mkeo alipouhitaji ukachagua kuvunja kiapo hayo ni matokeo ya ulichokifanya. Mkeo pengine hakusaliti ila kachagua amani. Ogopa sana maana anguko lako haliko mbali, ndoa ni baraka sasa kama mkeo kafunga vioo mmmhh!!nashauri tubu bro
 
min -me mkuu njoo uone huyu jamaa tumuweke wapi sasa

 
Mwekee TATOOO yakooo kiunoni
 
😁😁 tuvunge tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…