Nahisi mpenzi wangu ananisaliti, ninaweza kupata sonona siku si nyingi

Thanks a lot guys, I'll NVM her for being too naive, it's so juvenile of me not to sieve this matter deeply, maybe i was falling too deep i was really drowning,

You guys are the best nashukuru sana Kwa mawazo yenu ,
And i wish you all the best.
 
Mjomba mbona vitu vidogo unachukuliaa serious, mi mtu wako nimetembea nae mara kadhaa, anapenda ucheshi wangu ,na sex yangu ya kibabe hata kumpata nilimpata kimasihara uko online, anatako ivi zuri, shape nzuri kiukweli ni mtamu ktk bed anajiachia sana, tunapenda kutumia wine kabla ya tendo huwa tuna enjoy sana, anakiri anaenjoy sana uwepo wangu
Back to topic,
Nikakuuliza vip mtu wako akasema nampenda sana tu na nanweshimu hata akijuwa namcheat ataumia sana,

Ndo nikamuuliza kwaiyo ukiacha mm na jamaa je hauna mtu mwingine ndo uo ujumbe alikuwa anitumie mimi, "unadhani naweza fanya mapenz na mwanaume mwingine nimekoma mim'" yani utamu niliompa amekoma awezi tafuta mwingine zaid yangu na wewe,

Kwaiyo cool down yupo sehem salama kabisa, namsihi tu mzidi kupendana kwasbab na mi nina mtu wangu, ni mwanamke anaependa story sana ,na kujiachia mno
Pole budah usiumie
 
Huko sirudii tena kwamwe....nawaachia nyinyi pia mteswe na mapenzi

Stress zake. ...ni hatari usiombe
 
Iyo inaitwa ukiona manyoya ujue ameliwa, kama ulikua unapiga kavu anza kutumia condom hapo mana mlaji sio wewe peke yako
 
You know why men need back up me. Women sometimes say things they donโ€™t mean or do things meaninglessly . With no agenda . Just ask for her past relationships story . Multiply by 3-5 . Know your position . If you can handle her or not . Build a back up girl and leave her slowly. ๐Ÿ’€๐Ÿ’€ #once a street g always a street g. Just up ur game
 
Kuna magonjwa ndugu, hio meseji hai kuwa yako ni ya rafiki yake shosti wake, au mtu wake wa Karibu ambae ana Ukaribu wa kuweza ku confide in, kusema ukweli amesha cheat sema anajutia kitendo chake
 
Kuna magonjwa ndugu, hio meseji hai kuwa yako ni ya rafiki yake shosti wake, au mtu wake wa Karibu ambae ana Ukaribu wa kuweza ku confide in, kusema ukweli amesha cheat sema anajutia kitendo chake
, She had my trust, but not anymore!
Not anymore ๐Ÿ˜”,
 
Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ