Nahisi nadanganywa

johkepha

Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
58
Reaction score
41
Jmn nina girl wangu aliachana na boy wake naalichange line asisumbuliwe lkn chaajabu leo yy ndokamtafuta jamaa anadai anataka amuambie ukwelianamtu wake... Je nia yake inaweza kuwa ni ipi guys
 
Yaani anamtafuta ili amwambie kwamba ana mtu wake? Demu wako bado anatafunwa na mshikaji, sema tu wewe hujui kujiongeza
 
Yaani anamtamfu ili amwambie kwamba ana mtu wake? Demu wako bado anatafunwa na mshikaji, sema tu wewe hujui kujiongeza
Daaah pocble though mshikaji yupo mbali af demu yy ndokaanza kunitumia izo screenshot wanavyochat.... Nifanyeje apo mzee
 
Shtuka wewe Mume bwege..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…