Na mie huwa najiuliza kwanini nafanyiwa hivi sijui wanatuonaje mkuu wanguWazima wandugu...hili tatizo ni mimi tu au kuna mwingine linamtokea. Nikienda kwa vibanda vya mpesa mara nyingi wanataka Waone sms ilyorudi kwangu ndio wanipatie pesa, nikienda office za watu utaona mdada anahamisha pochi yake na simu , Bank teller anachukua mda mwingi kunihudumia.. saa ingine anaenda kupata ushauri kwa mwenzake au manager..... hii hali inanifedhehesha sana.