Habari zenu wadau! Nimefanya maamuzi magumu ambayo nilidhani yatanisaidia, lakini yanaishia kuniumiza. Ni kuhusu binti ambaye nimemfatilia kwa muda mrefu, nilijitahidi kwa kila hali kumuonesha kwa vitendo kwamba nampenda. Nilijitahidi kuwa karibu naye hasa kwa upande wa mawasiliano ya simu, muitikio wake ulikuwa mzuri japo alisema mapenzi na mimi no. Niliukubali urafiki japo kwa shingo upande, niliendelea kuwasiliana naye, lakin ilikuwa mpaka mimi nimtafute, nikikaa kimya naye anapotea, nikirudi anarudi. Kama mnavyojua kuwa kamba ikivutwa sana hukatika pabovu, ilifika muda nikachoka na nikaamua kukaa kimya. Sasa ni wiki ya 3 toka nimchunie, naye yuko kimya. Wadau hali hii inanitatiza, nataka nimpotezee mazima lakini naona naelekea kushindwa, moyo unaniuma kumuacha aende. Naomba ushauri wenu.
Hebu ngoja mkuu, ina maana hayo mambo ya kumfuatilia msichana kwa muda mrefu hadi sasa yapo?! Nasikia mademu wa zamani wakati unawaambisha lazima watakuwa wanag'ata ng'ata kucha na kuchuma majani yaliyopo jirani!!! Tuache masihara, hivi hadi cku hizi wasichana wang'ata vidole wakati wa kuimbishwa bado wapo?! Mi mbona cjawahi kukutana nao?!! Let me tell u dis, mademu wa zamani ilikuwa hata kama wanataka, watajifanya hawataki na kv wanashindwa kusema YES on the spot ndio maana walikuwa wanaishia kujing'atang'ata!!! Dada zetu wa sasa, kama yupo tayari kuwa na ww, wala hana haja ya kukuzungushazungusha muda wote huo!! Aliye tayari kuwa na wewe wala hawezi kumaliza mwezi mzima! Anaweza asikupe mapema na ikapita hata miezi kibao, lakini suala la kukukubali anaweza kulifanya even within a day! Sasa basi, wewe ulikuwa unamfuatilia mtu ambae sio tu hataki kuwa na ww, bali hata hisia na ww hana kabisa na ndio maana pale ulipokaa kimya (usijidanganye, hujawahi kumchunia, bali mara zote ama ulikuwa unakaa kimya au ulikuwa unajichunia mwenyewe!) na yeye aliuchuna!!! Msichana anaweza asiwe tayari kuwa na ww (may be yupo commited na some1 else, au hayupo tayari kwa huo muda) lakini kama ana hisia na ww, basi pale utakapoamua kukaa kimya kwa muda, yeye atakutafuta tu hata kama bado hayupo tayari kuwa na ww!!! Kuna athari ya kumfuatilia gal kwa muda mrefu!!! Kama umemfuatilia kwa muda mrefu na yeye haoneshi dalili yoyote, unaweza kukuta baada ya muda mrefu kupita anaanza kujiweka karibu na ww!! Mara nyingi, msichana ambae anakuja kukukubalia baada ya miezi kadhaa kupita, basi fahamu keshapigwa chini kwa boy wake na sasa ndipo anaamua kuja kwako!!! So, kama upo tayari kubeba wasichana wanaokuja kwako baada ya kupigwa chini; then endelea na huo mtindo wa kuwa king'ang'anizi!!! Furthermore, next time avoid kuiweka kichwani namba ya msichana unaempenda sana especially kama unazani she can't love u back!!! And 2b honest, don' memorise hata namba ya mpenzi wako kwani ni hizi namba za simu ndizo zinazotufanya tuonekane hatupo stable kwenye maamuzi magumu!!!! Furaha kwako kwa mtu ukimchunia, ni yeye aanze kukutafuta wewe baada ya kuona humtafuti!!! Lakini kama unaanza ww kujifanya kuuchuna, mwenzako nae anakaza na baada ya muda unashindwa hivyo unaamua kuanza kumtafuta!!!!! Dah, hapo umempa bonge la CREDIT, na kwamba sio kwamba ULIMCHUNIA, bali ULIJICHUNIA!!!! Unajua ninachomaanisha? Usipokariri namba yake, basi pale utakapotaka kujitutumua (kujifanya unamchunia), utachukua namba yake na kuiandika kwenye kikaratasi then kaifiche mbali na unaopoishi ambako huwa unaenda mara chache bali upo free nako! Assume, unakaa Kimara, na una braza wako anaishi mbagala, basi chukua kikaratasi hicho kisha kakiweke mahali kwa braza kisha delete namba yake!!!!!! Unajua wht will happen? Baada ya kuanza kumchunia, itafika wakati unatamani kum-kol, lakini ukiingia kwenye 4n book unakosa namba yake!!!! Sishauri kui-delete bila kuihifadhi mahali kv itafika mahali kwamba u can't take it any longer; kwamba vyovyote iwavyo lazima umpigie!!!! Inapofikia hali hiyo, hutaona taabu kupanda gari kwenda mbagala!!!! But ushauri ni kwamba, ikifikia hiyo hali, basi hata ukiifuata hiyo namba basi don' call moja kwa moja! Unachotakiwa kufanya ni kutuma plain meseji kwake, abt FIVE messages or more!!! Ukifanya hivyo tarajia one of the following:
1. Either yeye kukaa kimya; hii ikiwa ni kwamba hajashitushwa na plain msg zako!
2. Kv muda mrefu hukuwahi kumpigia simu, anaweza kuku-text au kukol na kuuliza "who ru?!" Hii ikiwa na maana kwamba, baada ya ww kuwa kimya kwa muda mrefu,akaamua ku-delete namba yako!
3. Anaweza ama kuku-text ama ku-kol na kuuliza mbona umetuma plain messages!!! Hii ikiwa na maana kwamba, bado namba yako anayo!
So, kama jibu ni moja au mbili, then delete the number permanently gkwamba huyu si tu kwamba hakutaki, bali hana haja hata ya mawasiliano na ww!!!
Na kama ataku-text na kukuliza mbona umetuma plain msg; call her na ku-appologize kwamba u didn't do it, may be simu uliikalia na ikatuma hizo msg!!!! Hapa maana yake ni kwamba, si wewe ndie uliyeanza kupiga, bali ulipiga baada ya yeye kuanza kuku-text kwahiyo CREDIT si zake inagwaje ukweli ndio huo!!! Baada ya hapo, delete call logs, kisha rudisha karatasi mahali pake na endelea na mambo yako!! KV access na namba yake itakuwa imepunguwa sana, itafika wakati unakaa hata miezi bila kukol halafu poa tu!!!!