kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
-
- #21
๐๐๐๐Na mwaka huu lazima muende VETA ndio mtaweuka kabisa
Habari ni kwamba mtafute wapenziKwa hyo habari hapa n nn ,n umepataa mpenzi mpya au ๐ค
Ndiyo nini hiyo mkuu?Libido tu ilikua inakusumbua๐ค
Nyege๐คNdiyo nini hiyo mkuu?
Mwezi mtukufu huu sinywi pombeHuyu nadhan anakunywaga Serengeti Lite.
Savanna zina hangover huwez piga nyingi zile ukaamka na Nguvu.
Kumbe duh! ๐๐Nyege๐ค
YeahKumbe duh! ๐๐
Ww una matatizo gani mbona mapenzi umeyapa kipaumbele sanaHabari za wakati huu ndugu zangu poleni na mfungo wa Ramadhani ndugu zangu waislamu na wakristo poleni na mfungo wa Kwaresma.
Kama kawaida yetu hapa jukwaani ni kushea mawili matatu uliyonayo kama kuna ushauri upatiwe au kujufunza watu wajifunze.
Sasa ndugu zangu mimi kipindi nipo single nilikuwa nikiona wapenzi wanaonekana kupendana hivi mbele yangu basi nachukia mno na kukasirika. Sijui shida ni nini hapo ilikuwa.
Lakini namshukuru Mungu kwa sasa I'm in Love, hiyo hali imetoweka kabisa, kama unapata mtu anakupenda mjali mthamini maana wenye upendo wa dhati wamebaki wachache mno.
Muwe na mfungo mwema๐๐
Hapana MwanzaJanja njombe moja nini?
Ni sehemu yangu ya maisha mkuuWw una matatizo gani mbona mapenzi umeyapa kipaumbele sana
Yupo kimkakatiWw una matatizo gani mbona mapenzi umeyapa kipaumbele sana
๐๐๐๐๐Na mwaka huu lazima muende VETA ndio mtaweuka kabisa
Ndiyo nini hizoZilikuwa tu ni nyeg(ee) madam.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Inamaana apa umetushauri ama umetuambia #Binti_sayuni๐๐Habari za wakati huu ndugu zangu poleni na mfungo wa Ramadhani ndugu zangu waislamu na wakristo poleni na mfungo wa Kwaresma.
Kama kawaida yetu hapa jukwaani ni kushea mawili matatu uliyonayo kama kuna ushauri upatiwe au kujufunza watu wajifunze.
Sasa ndugu zangu mimi kipindi nipo single nilikuwa nikiona wapenzi wanaonekana kupendana hivi mbele yangu basi nachukia mno na kukasirika. Sijui shida ni nini hapo ilikuwa.
Lakini namshukuru Mungu kwa sasa I'm in Love, hiyo hali imetoweka kabisa, kama unapata mtu anakupenda mjali mthamini maana wenye upendo wa dhati wamebaki wachache mno.
Muwe na mfungo mwema๐๐
Nawashauri muwathamini wanaowapenda๐๐Inamaana apa umetushauri ama umetuambia #Binti_sayuni๐๐
Kama hawapo nini kifuate maana siwezi ota kua kuna mtu ananithamini ikiwa hawatuambii๐๐Nawashauri muwathamini wanaowapenda๐๐
Si atakuonyesha hata vitendo jamaniKama hawapo nini kifuate maana siwezi ota kua kuna mtu ananithamini ikiwa hawatuambii๐๐