Nahisi nilikuwa naanza kuchanganyikiwa

Uchanganyikiwe mara ngapi mwanangu. Umechanganyikiwa hadi ukachanganyikiwa na kuchanganyikana
 
Kuna mwengine unakuta umekuwa nae kwenye mahusiano amekupa tunda unamkaushia anakitumia meseji unajifanya huzioni wakati mtoto wa watu kashafall in love, alafu baadae uanze kubangaika useme umerogwa
Fabian Vitus
 
Hivi wewe si Rushaynah kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…