Nahisi nimeambukizwa HIV, Ushauri please

kila moja humu, kapime kapime. Mnaona kitu kirahisi sana. Raha ya ukimwi upime tahari upo mahututi unaharisha kama ngisi unakuwa tahari umejikubali kabla ya vipimo. Hivi hivi afya swaffii thubutu, nyinyi muinjoy maisha mimi nife kwa mawazo
We muoga sana wa kufa...Kufa utakufa tu utake usitake....Ukiishi maisha ishi to the fullest with no worries...sio unakosa furaha kisa unafikiri kama una maambukizo....
 
Buriani ninakutoka Mika Mwamba, ninakutoka Kamanda! Daz Nundaz wana nyimbo nzuri sana za kuliwazana!
 
Umenifanya nifikiri,ni kwavipi mwanaume unaweza kubakwa na mwanamke? How? ,ulilia? Nahisi kunajambo hujaliweka wazi hapo.bado sijaamini!

hahaha Munkari.
 
Last edited by a moderator:
kapime tu hapo ndo utakuwa na maamuzi baada ya kuwa na majibu ya vipimo mkononi!! na kuwa na uti si lazima kuwa dalili ya ukimwi , be brave kapime tu tena!
 
dalili za ukimwi haziwezi kunekana ndani ya mwezi mmoja. ila kama unahisi umeambukizwa kwa sababu umefanya unsafe sex, nenda kapime mapema ili wakuone hali yako kama umeshakuwa wa kuanza kutumia dawa ama la.

kuchelewa kwako ndiko kutakakokuja kukupa hali ngumu ya kimatibabu hapo baadae.

pole kwa lililokutokea.
 
Wewe hukubakwa ila ulitiwa majaribuni ikapelekea kufanya ngono zembe,,,mwanaume habakwi.....pole anyway,,,kapime mkuu.
 
Brother, it happens to any human beings so we si wakulaumiwa ni sawa na kupata ajali ya gari. Kuogopa kupima sio suluhisho maana utaendelea kujitesa bure better you know once and for all then you will make decision from there. I dont think your frind is a killer what could have happen labda umempa mimba na sio alikuambukiza HIV. ALl the best brother hope you will come back to the thread once you have done the tests.
 
Tunamuhitaji Mungu katika maisha yetu no matter what....you can hv cars,a fancy house,a succesfull carrier bt at the end of the day we need HIM.Hili ni jaribu lako kaka;muombe Mungu yeye hashindwi na lolote,atakupa ufahamu,ujasiri na hekima ya kudeal na hili tatizo and also pray for ur girlfriend, u both need Jesus right now##LIFE CAN BE HARD SOMETIMES BUT IT IS WORTH LIVING##.
 
ulilia!!? khaa, pile kaka, too late, ulipaswa kutumia pep, ni kapime uwe na uhakika, probability ya maambukizi ni ndogo
 
wewe ulibakwaje?
km huna hisia Jogoo hasimami
na hata ukichovya jogoo lililolala haliingii ni km utambiwa koroboi
Kwa hiyo HUJAAMBUKIZWA maana huna michubuko
MWANAMUME ana nia nyingi HABAKWI
 
Hiyo ni cycologcal conflict,kapime then uanze maisha mapya!
 
kama musa tu,pija fimbo maji amini yatagawanyika tu,namwamini mungu ,maajabu yanaweza kufanyika ukashangaa ,ni yy tu sisi wengne wanafiki bwanah,fanya kama musa
 
Sijakuelewa kabisa inamaana umri wako uhujui hadi useme 25-30 sio issue, lkn kama mwanaume nikiwa sina hisia za ngono mzee hasimami sasa nashangaa wews alisimama vp?kuwa mkweli kuwa ilikuwa sitaki nataka ndio maana hiyo ajali ikakufika. Ushauri wangu kama ilivyopata ujasiri wa kupima mara ya kwanza nenda kapime hapa watu watakupa ushauri hautokusaidia cha msingi pima ndipo useme umeathirika au la utamkwepa mpenzi wako hadi lini? Mwisho atajua unamtu mwingine halafu akutose pima maisha yaendelee
 
Hivi ukiandika kiswahili tu au kiingereza tu nini utakosa? Maisha ya kidadiii dadiii usituletee hapa, peleka huko fb
 
acha uongo na story zako za kutunga huwezi kupata dalili za hiv mwezi mmoja baada ya kuambukizwa inakuaga baada ya miaka kadhaa hiv
 
Pole sana ndugu lakini kupima pekee ndo kutakutoa hofu though kwa mtazamo wangu sidhani kama umeambukizwa bali wasiwasi tu.

Wasiwasi na hofu vinaweza kuwa ugonjwa mbaya kuliko huo ukimwi( though sio ugonjwa) so kapima ili uendelee na maisha yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…