Nahisi nimeambukizwa HIV, Ushauri please

Kwanza pole sana kwa yaliyokupata. Pili nimependa busara uliyonayo kwamba unajua jambo gani ni sawa kumwambia mpenzi wako kwa simu na lipi hailifai hadi face to face.tatu d way u love ur girlfriend kwamba unadiriki kumkwepa hadi hapo utapojua afya yako. Cha muhimu jikaze ukapime ndugu yangu ili ujue afya yako,coz huenda hapo uko na stress bt kumbe uko safe, so kapime plz.
 
Umenifanya nifikiri,ni kwavipi mwanaume unaweza kubakwa na mwanamke? How? ,ulilia? Nahisi kunajambo hujaliweka wazi hapo.bado sijaamini!

Like ur in my thoughts,kubakwa na mwanamke then unaanza kulilia cjui..seriously kuna sumthing wrong au hidden hapa!
 
Umri wangu kati ya miaka 25 na 30, muhitimu wa chuo kikuu ngumu kumesa. Ninamashaka makubwa sana na vyuo vya Tanzania
 
acha uongo na story zako za kutunga huwezi kupata dalili za hiv mwezi mmoja baada ya kuambukizwa inakuaga baada ya miaka kadhaa hiv

wewe nawe!!! umetoka usingizini? mwenzio ana maumivu unamletea dhihaka
 
Tunaweza wekeana dau la hata million, kid you are not infected trust me.
And by the way you are what we call "good people"!
Ukiskia watu wenye roho na maadili katika li dunia lililokua polluted kama hili basi nawewe ni mmoja wapo.
I hope you have a good life.
 
mkuu Mbarikiwa0890 Kama ungewahi haraka ungeenda hospitali ungepewa Post exposure Prophylaxis. Sasa wewe mpaka miezi mitatu
 
Last edited by a moderator:

hakuna namna nyingine ya kujua kama umeambukizwa zaidi ya kupima.

dawa ipo karibu?kuna mambo mengi sana baado yanatatiza.
wala huyo missip baby hajapona ukimwi ila utakuwa si mfatiliaji na hiyo njia ya bone marrow transplant haiwezekani kwa watu wa kawaida
HUYO MTOTO AMEONEKANA HAJAPONA UKIMWI MAANA AMEANZA KUWA NA DALILI YA RNA YA VIRUSI
 
very touching story!

but nadhani ni wasi wasi wako tu, huenda huyo demu hana virusi. pole sana.

be strong.. kapime
 
HIV Transmission Risk
The risk of getting HIV varies widely,
depending on the type of exposure.
Transmission happens most often during
sexual or drug-using activity, and the
chance of getting HIV varies for each act.
The table lists the risk of transmission for
various exposures.
Different factors can increase or decrease
transmission risk. For example, taking
antiretroviral therapy (i.e., medicines for HIV
infection) can reduce the risk of an HIV-
infected person transmitting the infection to
another by as much as 96%1. Consistent use
of condoms reduces the risk of getting or
transmitting HIV by about 80%2. Conversely,
having a sexually transmitted infection or a
high level of HIV virus in the blood (which
happens in early and late-stage infection)
may increase transmission risk.
The Centers for Disease Control and
Prevention (CDC) is reviewing the most
recent science and constructing
mathematical models to update
transmission risk.
Estimated Per-Act Probability of Acquiring
HIV from an Infected Source, by Exposure
Acta
Type of Exposure
Risk per
10,000
Exposures
Parenteral
Blood Transfusion 9,000b
Needle-sharing during injection drug use 67c
Percutaneous (needle-stick) 30d
Sexual
Receptive anal intercourse 50e, f
Receptive penile-vaginal intercourse 10e, f, g
Insertive anal intercourse 6.5e, f
Insertive penile-vaginal intercourse 5e, f
Receptive oral intercourse lowe, i
Insertive oral intercourse lowe, i
Otherh
Biting negligiblej
Spitting negligible
Throwing body fluids (including semen or
saliva)
negligible
Sharing sex toys negligible
References
 
Hauko peke yako kaka.
Mwenzio nipo kwenye dozi ya PEP kutokana na mabalaa kama hayo, Dokta kaniambia sio 100% Zinafunction, Sina raha, Nimedhohofu mwili, Uwezo wangu kazini pia umepungua, Nimeambiwa baada ya mwez mmoja nitapima kuona maendeleo ya tiba.
Najiona tarehe haifiki,Nina mawazo mengi kichwani, sina raha abisa.
Niombeeni dua wadau ili tarehe hiyo majibu yangu yawe mazuri.
 
acha uongo na story zako za kutunga huwezi kupata dalili za hiv mwezi mmoja baada ya kuambukizwa inakuaga baada ya miaka kadhaa hiv
Hapo ndio nashindwa kuelewa jaman. Kweli dalili zitokee ndan ya mwez mmoja. ?
 
Kapime banaaa, hamna kitu kizuri kama kupima, so utakuwa makini zaidi
 
Dah pole sana nenda kapime ukimwi co mwisho wa maisha yako na mkabidhi mungu kwa yote ww ni mwanaume ulikuwa na uwezo ht wakumpiga ila kwavl imeshatokea mshukuru mungu
 
Umenifanya nifikiri,ni kwavipi mwanaume unaweza kubakwa na mwanamke? How? ,ulilia? Nahisi kunajambo hujaliweka wazi hapo.bado sijaamini!

Huyu jamaa sijui nimuite jina gani eti alibakwa halafu akawa analia,mwe!!! kweli hii ni 2014 jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…