Nahisi nimeambukizwa virusi vya UKIMWI

Daaaaah nina stress kinomwa
Nilikutana na mwanamke baada ya kama week hivi koo langu likawa kavu sana ila haliumi hata Nikila chakula sisikii maumivu
sina dalili nyingine tena zaidi

Je ni moja ya dalili za ukimwi
Wahi Kenya utafute sindano ya mara 2 Kwa mwaka,vidonge ni mzigo mzito 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…