Mfarisayomtata
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 474
- 188
Nyama ni nyama tu tuliza boli.
Mkuu nyama ya punda ni kama unakula mpira wa manati.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona tam tu
we ulikula ya nyani basiMkuu nyama ya punda ni kama unakula mpira wa manati.
Vip mkuu unajihisi kubeba beba mizigo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wakuu mimi nimekula nyama sehemu flani hapa dodoma lakini nimebaki siielewi. Nyama haina utamu, ngumu, afu kubwa mnoo kwa bei ndogo, huku dodoma naskia paja la nyama ya punda ni sh. 7000 sasa mnao kuja huku muwe makini.
Kijana muziki kuimba sio rahisi kama hivo!
Singida, hasa Wanyiramba ndio wanapenda kula huyo mnyama, kiasi kwamba ilifikia mahali halmashauri zikatunga sheria ndogo za kuzuia kula nyama ya punda kwa kuwa ni mnyama kaziWakuu mimi nimekula nyama sehemu flani hapa dodoma lakini nimebaki siielewi. Nyama haina utamu, ngumu, afu kubwa mnoo kwa bei ndogo, huku dodoma naskia paja la nyama ya punda ni sh. 7000 sasa mnao kuja huku muwe makini.
Nyani wanakula wakazi wa mkoa wa Ruvuma wilaya ya Mbinga (Wamatengo)we ulikula ya nyani basi
Yani mgongo unaniwasha kweli nikiona mzigo.Vip mkuu unajihisi kubeba beba mizigo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
HahaahahahahahahaVip mkuu unajihisi kubeba beba mizigo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
HahahahahahahaYani mgongo unaniwasha kweli nikiona mzigo.
Yani mgongo unaniwasha kweli nikiona mzigo.