Pole sanaaaaHabari zenu ndugu zangu,naombeni msaada wenu kwa hili.
Jana nilienda kununua soda nikanyw ila baada ya kumaliza nikagundua kuw chupa ilipasuka mdomo na kuhisi kuwa nitakuwa nimemeza vipande vya chupa.naombeni kuuliza ni madhara gani nitakayoyapata iwapo nitakuwa nimemeza hivyo vipande.na itachukua muda gani kuanza kupata hayo madhara?
Naombeni sana mnisaidie kwa hili maana nimekosa amani kabisa, asanteni.