INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,005
- 19,579
Wakuu habari ya mwaka mpya.
Ndugu zangu wa hili jukwaa pendwa naomba msaada wenu kuna garage hipo hapa Mbezi Beach karibu na Juliana huku chini Africana. Nilipeleka gari kwaajili ya service za miguu baada ya kusikia kama inalalalama sana hasa kwenye matuta na mashimo aina ya gari ni toyota ist.
Nilivofika pale nikawambia wacheki tairi zote ili kama kuna spare zibadilishwe sasa huu ndo mrejesho wa spare walizosema zibadili ila nimeshtuka kuona gharama sana hasa kwa Toyota IST.
Ndugu zangu nimeambatanisha hii list mjionee hawa jamaa kama wapigaji hivi garage imekaa kimchongo sana. Nilikwemda garage nyingine jamaa akasema vya kubadili ni vichache tu na sio vyote na cost ikaja kama 420k hvi