Fortyseven
JF-Expert Member
- Oct 30, 2020
- 1,518
- 2,834
Natumaini upo vizuri Mimi kijana wa miaka 29 sasa Nina mke na watoto watatu,,katika kipindi Cha nyuma mwaka 2019 nilipatwa na matatizo ya afya ya akili sababu ilikuwa kutokana na msongo wa mawazo na nahisi kulikuwa na chembe za tatizo la akili toka nazaliwa ila sikujua mpaka nilivyotumia bangi na kutriger tatizo la akili moja Kwa moja Kwa kujitokeza,,
I'm a advance school graduate,,but my professional ni truck driver na ni mtanzania nilitamani sana kufanya kazi nje ya tanzania I mean kwenye nchi zinazolipa vizuri lakini hofu inakuja kutokana na Hali yangu ya afya ya akili niliopata kozi Toka nimepata janga hilo 2019 sijawahi acha dawa na natumia dawa mpaka hivi leo so sijui policy za mental issues zipo vipi duniani ila Kwa upande wa Tanzania watu wenye tatizo la afya ya akili wanadharauliwa sana....
Mimi ni kijana mpambanaji na nategemewa na familia na ndugu na jamaa nimejaribu kutafuta kazi za ndani kwenye kampuni kubwa na serikalini ila bado ni changamoto Kwangu nilitaka nikafanye kazi nchi zilizoendelea na zenye payment nzuri so naogopa kulingana na afya yangu kiakili...naweza toboa kutokana na mazingira hasa upatikani wa dawa Kwa nchi tofauti sijui upoje naingia na wasiwasi

Inasikitisha sanaKila mtu ana matatizo ya akili ni suala la muda tuu
Ushauri bora zaidi. Nafikiri asome hapa kisha atulie alee mke na watoto watatuUsiende huko nje, it's a very lonely life. Kama ushwahi kuwa na msongo wa mawazo hapa bongo basi huko nje huo upweke unaweza kukuua kabisa.
Enjoy maisha na familia yako, hao ndio watu wa msingi zaidi. Nothing else matters.
Kumbe jamaa anatuchosha tu bure wakati watu tunatumia VPN kupata jukwaa?Baada ya kupata scholarships kuja kusoma huku majuu nilisema sitakuja kurudi na kuishi Bongo
- Thread startermkunga wa jadi
- Start dateSep 10, 2025
Mkuu..... nyuma ya keyboard tunaficha mengi sana .... usiamini kila unachokiona mtandaoni...ni tofauti sana na uhalisia .....Ji
Hivi huyu si ndiye huwa anaandika mada za kukandia watu wanaoishi bongo na wale ambao wamepata GPA chini ya 4.5 kweli?
Sio salama maana hilo tatizo lako linaweza sababisha kampuni kuingia hasara ikitokea upo road au basiNatumaini upo vizuri Mimi kijana wa miaka 29 sasa Nina mke na watoto watatu,,katika kipindi Cha nyuma mwaka 2019 nilipatwa na matatizo ya afya ya akili sababu ilikuwa kutokana na msongo wa mawazo na nahisi kulikuwa na chembe za tatizo la akili toka nazaliwa ila sikujua mpaka nilivyotumia bangi na kutriger tatizo la akili moja Kwa moja Kwa kujitokeza,,