#COVID19 Nahisi nina Covid 19

Ukosawa mkuu we ilikupitia ... hopeulitoa SADAKA wenye madeni WANAKUFA KABISA kwa mawazo
Mkuu.kunavitqmini wanatoa zinazink Inaitwa crotene hizi mkiweza.nunua wapeni familia zinawakinga msisubiri waumwe
 
jisalimishe haraka maaana kirusi cha awamu hii kinapuputisha! pia hakiangalii kijana wala mzee kinapiga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hope tukichat nae akiturukiiiiiii

Moshii balaamkuuu matanki Kama yotee loh yaan daily ukionaa matarumbeta yamaongozana sio harusi zile wanampeleka mtu kuzika yaan ukikaa njiapanda unaweza kuwachizi wanavyopitishwa
 
Pumbavu, badala upige nyungu, malimao, tangawizi, pilipili kichaa n.k wewe unakimbilia kutafuta hospitali kupima coona? Utakata moto kizembe wewe! Kwa vile kuna improvement endelea na hizo mambo pia kuna mdau hapo juu kashauri kwamba yeye alipiga Azthromycin, ped zinc n.k pia tafuta hizo naona wengi wanashauri eti zinapunguza makali ya coona
 
Achanganye na pilipili cayyene,,zile ndefu nyekundu.
Ziko na high quality Vitamin na ni blood thinner
 

%100 hiyo ni covid19....wahi ukapime haraka
 
Nakushauri tu usiende huko wanapopaita Hospital

ndio unaenda kujimalizia huko,nina mjomba angu ilimpata

hu ushauri wa kutokwenda hospital alipewa na doctor kabisa

kilichofata ni uncle akawa anatibiwa home na kufata kila anachoambiwa

na doctor akiwa home,(ili cost sana) but kwasasa ni mzima yuko anadunda huko.

Ninachorudia kukushauri nawewe boss,Jitibie home Huko hospital utaenda tu nyanyapaliwa

na mwisho ufe kwa Mengine watu tuseme ni covid, Mzee tulia home kula nyungu na kila dawa ya asili utayoshauriwa na wataalamu.
 
Moshi ni ground zero,kwa takriban miezi 6 sasa..
 
Mawakala wa chanjo wakiwa mzigoni.
 

Wale wabishi wabishi wafuasi wa magufuli wazee wa "R.I.P NA MISS YOU BABA"njooni hapa msome comment ya Chaliifransisco....acheni ubishi wa kijinga

Kamanda watu wanachomoka aise...huku nilipo hospitali zina wagonjwa wengi mno n others wanapoteza maisha...hali ni mbaya ndugu zanguni....


Vichwa ngumu sidhani kama watanielewa
 
Yaani ulipozaliwa inaonekana mama.alisema NENO hilihili I.pumbavu ndio.umentesa hivi
Kufuata utani wa Kisukuma utakuwa chizi nyumbu wewe! Unafikri hapo namaanisha kumtukana huyo mdau? Kama hayujakaa huku kwetu bora ujinyamazie hii ndiyo inatufanya tunakuwa watani wa kila kabila hapa nchini!
 
Mkuu amka asubuhi kimbia ka umbali flani hivi halafu rudi home oga ta moto kunywa chai yenye tangawizi na lmao then lala. Jioni tafuta kongolo la mkia wa moooo kula na ndizi moja.Hiyo kitu itapotea kabisa
 
unaukimwi
 
Mimi nakuambia kamanda, kabla ya kutumia chochote nenda kapime kwanzaaa ujue afya yako.....achana na kujifukiza huu sio wakati wa magufuli wa kudanganyika na kusababisha mamia ya watu kupoteza life..... baada ya majibu, msikilize dokta ushauri atakaokupatia.
 
Jaribu kipimo cha covid-19 cha kuingiza kwenye haja kubwa nacho kikigoma basi umelogwa
 
Unajua hii issue unless imfike mtu personally labda kafa yeye au mwanae au ndugu yake wengi hawataamini. Tutakufa kama kuku wa kideri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…