#COVID19 Nahisi nina Covid 19

USHAURI MZURI,AJIEPUSHE KUWA KARIBU NA WENGINE,ATUMIE VIUNGO NA MATUNDA KAMA ALIVYOSHAURIWA HAPO JUU NA KUFANYA MAZOEZI.
 

#Acha kujitisha broo Hakuna corona Tz



Over!
 
Hospitalini nilini vifo vilisimama? Hata magonjwa yote yakisimama maiti hospitalini lazima zitolewe tu. Maana hata za ajari hupelekwa kuhifadhiwa huko
 
Hospitalini nilini vifo vilisimama? Hata magonjwa yote yakisimama maiti hospitalini lazima zitolewe tu. Maana hata za ajari hupelekwa kuhifadhiwa huko

Hapa nazungumzia covid, sasa ya ajali imetokea wapi! Na daktari aliesimulia ni muongo?
 
Hahaaa dunia hii uwanja wa fujo kwahiyo mkuu ukaishia kunusa tigo ya ng'ombe na homa ikabaki pale pale[emoji23][emoji23][emoji23] polee

Ukiumwa nusu ya wazimu kuna chali akanambia ninuse petroli mmhh nimeona majumba yanakwenda mbio [emoji1787][emoji1787]. Huku nasikia zwiiiiii


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Ukiumwa nusu ya wazimu kuna chali akanambia ninuse petroli mmhh nimeona majumba yanakwenda mbio [emoji1787][emoji1787]. Huku nasikia zwiiiiii


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Jamani wasije wakakuua bureπŸ˜‚πŸ˜‚! Nenda hospital tu upatiwe dawa dah
 

Pole mkuu,

Ila kumbukumbu zinaonesha wewe ni mpinga Corona na katiba mpya mzuri aka chawa wa mwendazake.

Vipi tena wewe unatoa takwimu za gonjwa hili?



Huoni hii ni kutomtendea haki mwendazake?
 
Vijana wa dar naomba niwaulize mbona hiyo uviko haipo huku nyasubi?
 
Tatizo lako hilo nami ninalo siku ya nne leo nakushauri kunywa tangawizi,limao changanya na asali
 

We jamaa vipi, ulipona?πŸ™„
 
Acha kuhisi. Nenda kapime kabla hujapotea ukijiona
 
Baada ya kupitia kipindi hicho una mawazo gani na hili janga sasa? Maana mwanzoni ulikuwa unapinga uwepo wa corona na ulihamasisha maisha yaendelee bila tahadhari zozote kisha ukaja kuomba sala zetu baada ya kujihisi umeukwaa, sasa una mtazamo gani mtoa mada
Niko mzima wa afya mkuu. Ahsante kwa kujali.
 
Mimi sipingi uwepo wa corona, napingana na chanjo, chanjo ni utapeli kama utapeli mwingine.

Nilienda hospitali wakaniambia sio corona, ilikua hali ya hewa tu maana sikupewa dawa yoyote, baada ya wiki nikapona ama nikajisikia vyema nikaendeea na mambo yangu, hata hivyo siku zote nilikua naendelea na shuguli zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…