Nahisi nina gundu duh

Hahaha mtu wa hivyo daw yake unamfunga kwamba mwili wote
Duh!Hayo mambo huwa yanafanywa sana na wahuni wa kizungu huku mtu anatembezewa na mijeledi mwilini.Sijui tuiteje hii kitu;
-drive me crazy?
-kill me softly?
-crucifixion in love?
-bite me as well?
-bad boy gotta baddest girl?
-mahaba niteketeze?
-do me rough?
Wazungu wana vituko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akigeuka basi samsing iz rongu samuwea
Mtu wa hivyo akikung'ata kwenye shingo unamng'a a na yeye kwenye masikio 😀😀😀
 
Mtu wa hivyo akikung'ata kwenye shingo unamng'a na yeye kwenye masikio [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha asubuhi hii Ubarikiwe maa[emoji23]

Hiyo sasa itakuwa vita lol
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha asubuhi hii Ubarikiwe maa[emoji23]

Hiyo sasa itakuwa vita lol
😂😂😂😂Vitu vingine havihitaji ushauri vitendo tu.
 
Haya mambo tunayaeleza kama utani ila omba yasikukute.Niliwahi kupigwa love-bites za shingo na bibie mmoja hivi hadi siku tatu ziliisha navaa mashati nafunga vifungo hadi cha mwisho.Nilipata mateso bila chuki.
 
Haya mambo tunayaeleza kama utani ila omba yasikukute.Niliwahi kupigwa love-bites na bibie mmoja hivi hadi siku tatu ziliisha navaa mashati nafunga vifungo hadi cha mwisho.Nilipata mateso bila chuki.
Hiyo mbona kawaidaa... Mwenzio anang'atwaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hana love bites ana makovuuu ya menoo...
 
Haya mambo tunayaeleza kama utani ila omba yasikukute.Niliwahi kupigwa love-bites na bibie mmoja hivi hadi siku tatu ziliisha navaa mashati nafunga vifungo hadi cha mwisho.Nilipata mateso bila chuki.
Hahaha kwa nini usiludishe mashambulizi na wew
 
Hivi ni kuzidi kwa raha au kusudi kwa kweli mim nikikutana na hali hiyo sikubali nalianzisha baada ya raha kutazuka ngumi humo ndani
Hii kitu isikie tu.Mara ya kwanza ananing'ata nilidhani yeye ndiye ameumia kwa hiyo ili kujibu mapigo kaning'ata.Kumbe si hivyo.Kwani mara ya kwanza nilipomwambia amening'ata akashangaa na kuomba msamaha.Mara ya pili na ya tatu hivyohivyo.Nikaukumbuka ule msemo wa "kizaramo" usemao "...sometimes something might catch you without your awareness"...! Hivyo BASI;
-ni utamu kumpata mwenza wako hadi kupitiliza
-kushindwa kuzyia hisia hadi kufanya mambo ambayo kwa wakati huo yanaweza kuonekana hatari,ya kuchekesha au vibweka k.m kulia,kugugumia kwa nguvu,kukuna nywele kama anawashwa upupu,kung'ata,kupiga kelele,kugeuza macho kama mbwa mwenye homa kali,kutamka maneno yasiyoeleweka,kutukana hovyo,kucheka sana,kuita majina ya watu na vitu hivyo,kupigapiga nk.Ni vema kujuana tabia kwani siyo wanawake tu.Hata wanaume pia huwatokea,baadhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…