Nahisi nina IQ kubwa

wabongo bwana kwa ujuaji.
Inawezekana dogo una. Ufahamu mkubwa. Na una INTJ personality ambayo wanakua nayo watu wakimya na wenye akili sana.. Google INTJ personality utaelewa zaidi.
 
in life, ni lazima unakuwa na marafiki wa kunywa nao na wengne wa kuongea mambo ya maana..kama vipi badilisha marafiki
 
Kweli kila mtu ana ukichaaa wake! Seems ushaugundua wako
 
mweeeew
 
Wewe ndo wakua na iq kubwaa....kwa lipi hasa?????
 
Ww si yule wa kila kitu unadai hujamwambia mama au nimekuchanganya...sorry km ni ww count IQ yako below negatives
 
Well, it's not quite as easy as you might think, unless you are a psychologist. What psyhologists do when they wish to calculate one's I.Q is this:

1. First they make tests with a great variety of questions, depending on the age of the person they're testing. Ex. If they're testing a 10-year old, they'll compile questions that would be suitable for a nine-year-old, ten, and eleven-year-old.

2. So, after the test's been done, they examine it and see which questions are answered. Let's say that the 10 y.o. boy has answered all the questions for the nine y.olds and all of the questions suitable for his age, but he has not answered even one of the "11-year olds" questions. Then we can say that his mental age is equal to his caldendar age, which is shown in the formula:

I.Q.= MA / CA x 100
MA - mental age
CA - caldendar age
So, in our example, I.Q. = 10 / 10 x 100
I.Q = 100
If the 10 y.o.boy had solved all the eleven-year old questions,
I.Q. = 11 / 10 x 100
I.Q = 110

Anyway, like I said before, you can neither compile the questions nor evaulate the results unless you are a very skilled psychologist. So if you want to have it calculated, ask for a proffessional to help you with this matter.
 
Kifupi wewe ni much know wala huna IQ kubwa na hujui hata IQ ni nini na inapimwaje...maana huo "mambo ya kitoto ni yapi" "mambo ya ajabu ni yapi"....acha umuch know
 
mtu kama benjamin netanyahu ali score 128 IQ at MIT(masachuette institute of technology) hao ndo watu wenye IQ kubwa then jifananishe maamuzi yake na yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…