Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ni Ke au Me angalie unachokihis siyo kitokanacho na Mbu K MobetoHabari zenu ndg.
Nipo tu hapa nimelala nahisi nina maralia. Maana kichwa miguu na hata uchovu ni wa dalili za maralia.
Niwatakie tu usiku mwema.
Ningeshangaa sana kama ungekuwa siyo mgonjwa.Kuna vyumba pale "Milembe hotels" Dodoma,wahi.Usimamishe mishipa kuishabikia sisyemu na dhambi zake zote malaria ikuache?Habari zenu ndg.
Nipo tu hapa nimelala nahisi nina maralia. Maana kichwa miguu na hata uchovu ni wa dalili za maralia.
Niwatakie tu usiku mwema.
acha uoga hata UKIMWI uko namna hii mtuu anaweza kuumwa kwa typhoid au TBHabari zenu ndg.
Nipo tu hapa nimelala nahisi nina maralia. Maana kichwa miguu na hata uchovu ni wa dalili za maralia.
Niwatakie tu usiku mwema.