Kwa hiyo mkosi wako upo wap? Hiyo ni bahati mkuuHabari zenu wakuu..
Kiukweli mi nakoswa raha kabisa nashindwa kuelewa yaani wapenzi wangu wote ambao nimeshawahi kuwa nao wote wameolewa, sina X hata mmoja ambaye yuko single na wanaolewa kwa ndoa na sherehe kubwa,, nipo na waza sijui na mkosi gani mimi, huu ni mkosi gani au lifanyio langu huwa linawatia baraka..
Sasa km ulishaachana nao kinakuuma kitu gani mkuu?,au ww hujapata mbadala?Habari zenu wakuu,
Kiukweli mi nakosa raha kabisa nashindwa kuelewa yaani wapenzi wangu wote ambao nimeshawahi kuwa nao wote wameolewa.
Sina X hata mmoja ambaye yuko single na wanaolewa kwa ndoa na sherehe kubwa, nipo nawaza sijui na mkosi gani mimi.
Huu ni mkosi gani au lifanyio langu huwa linawatia baraka.
Mkuu mi nawashauri wadada wa JF wakitaka kuolewa wakutafute uwape GEGEDO then uwaache kwa nia Nzuri lakini halafu mara tuu ya kuwaacha kama jina lako linavyosema wataolewa...Ili waje kuolewa Mkuu..wasiacha bahati yao hiiHabari zenu wakuu,
Kiukweli mi nakosa raha kabisa nashindwa kuelewa yaani wapenzi wangu wote ambao nimeshawahi kuwa nao wote wameolewa.
Sina X hata mmoja ambaye yuko single na wanaolewa kwa ndoa na sherehe kubwa, nipo nawaza sijui na mkosi gani mimi.
Huu ni mkosi gani au lifanyio langu huwa linawatia baraka.
Sasa na wewe si uoe??Habari zenu wakuu,