Niliotea kununua Tecno Phantom 6 na kutupa Sumsang Galaxy Note 7. Nadhani ningebaki nayo ingeniingiza gharama ya kuita jeshi la zimamoto au kununua fire extinguisher. I'm so Lucky!!
Me ninamisifa boss alininunulia Galaxy Note 7 et kwa jeuri nikampa mwanae anatambaaa achezee game duuuh boss aliruka et anadai hana fire extinguisher tena watu Wa fire wako mbali