Nahisi nitafukuzwa chuo jaman

mama lubango

Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
56
Reaction score
8
Leo nimeitwa na DVCAA nikapewa barua kuwa jumanne niende kwenye kikao cha Examination Comittee.
Semister ya pili sikufanya mitihan kwan chuo chetu hakiruhusu mtu kufanya mitihani unless hadaiwi.
Sasa mimi nilikuwa nadaiwa hivyo sikufanya mitihani
Nahisi watanifukuza chuo kwa sababu hiyo ohh moyo unauma karibu nilikuwa namaliza niombeeni jaman sina hata nguvu
 
pole sana kwani hicho chuo ni cha serikali au binafsi kama ni cha bibafsi itakuwa ngumu sana ila kama ni cha serikali usiogope watakuhurumia tu pole sana ndugu yangu
 

HUO ni ujinga wako, kama ulikuwa unadaiwa ulitakiwa kuandika barua officially ya kuahirisha mitihani hadi hapo baadaye, huwa mnabandikiwa ACADEMIC Adviser vyuoni kwenu mnaona hawana maana na Hamuwatumii, but nakushauri ueendelee kuomba labda Mungu anaweza okoa.
 
pole xana ndg yangu, achana na watu watakaokuponda coz hawajui reason bhnd ilokufanya kushndwa kulpa fee xo jct try 2 meet the dean of student en dean of faculty ili wakusaidie nn cha kufanya bt am xure huwez fukuzwa chuo. u dnt nid 2 wor buddy.
 
pole sana ndugu yangu. Muombe Mungu, Mungu ni mwema.
 
kaza buti kimaombi coz mungu ndo kimbilio le2 cc wanadam...xo worry out atakuxaidia..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…