Signora D
Member
- Aug 2, 2012
- 19
- 5
mimi ni newcomer hapa ofisini kwetu, na kwa bahati mbaya session yetu ina wanawake wengi wengi kuliko wanaume, nikisema hivyo namaanisha maboss wangu wanne ni wa kike na wawili ni wa kiume wote WAMEOA NA KUOLEWA!
na kwa bahati mbaya nimewekwa meza iliyo opposite na boss wangu wa kiume! shida inakuja, kuwa tangu naingia hapa ofisini nahisi huyu mkaka anakosa kuwa huru kabisa, najitahidi sana kwenye mavazi yangu nisije kumtega somehow or other but sijui ni kipi kinachomfanya akose uhuru wake aliyekuwa nao kabla ya mimi kuja hapa! imefikia sasa anakuwa anaenda kujificha library watu wakimuuliza anasema anahitaji concetration zaidi kitu ambacho si sahihi kwa wengi walivyomzoea, nakosa amani naamini mimi ndo cha chanzo cha yote! juzi wakati tupo kwenye mkutano alikuwa akiniangalia mno kiasi kwamba mpaka hawa wamama wamejua kuna hali ya utofauti! sijui nifanyeje jamani wanajf naombeni ushauri! sitaki hawa maboss wangu wa kike waone mimi ndo chanzo!!!