First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,312
- 1,475
wait a minute!NAHISI SIMTENDEI HAKI, unataka kumtendea haki gani we dada?mi sijaelewa hapa?kwani haki yake hapa ni ipi?
Hali hii ni ya kawaida kuwapata wakaka hasa wenye macho mengi wanapomuona mdada yoyote mpya kwa ofisi,me mwenyewe iliwahi nitokea kipindi flani hivii nikiwa nafanya kaz bank.Ni hali ya kawaida na huwapata wanaume wengi kwa sababu wao wameumbwa na tamaa,kaz kwako kuzuia hiyo tamaa isiende mbali.
Zingatia mambo yafuatayo uwapo kazini
1.Usivae nguo zinazoacha sehemu kubwa ya mwili wazi hata kama wewe unaona ni za kawaida.
2.Unapokuwa ofisini kuwa kama mfanya kazi na sio msichana,acha tabia za kisichana nyumbani
3.Muheshimu huyo kaka na ujiheshimu mwenyewe hapo hajakuzoea akikuzoea ataacha kukuangalia.
4.Do not date a fellow employee itakucost my dia
5.Omba ushauri kwa mmoja kati ya maboss zako hao wa kike hii itakuondolea hofu ya kujadiliwa hapo ofisini.
6.Ukikutana nae msalimie kwa uchangamfu na heshima bila tone la aibu atakuheshimu na hatokutamani tena.
Ukizingatia haya utaishi ofisi yoyote kwa amani sana dadaangu,All the best
uamuzi uliobaki ni 'umgawie tu hadi aichoke' arudi kwa mkewe
na wewe uendelee na kazi yako bila usumbufu
Hapo ktk red pazingatie sana, sio wewe tu na hata msichana mwingne yeyote.
Anataka ammpe majamboz lakini kwa kuwa jamaa hajaanza kusema! Hapa inaonekana yeye ndo anapata shida na sio jamaa!
mimi ni newcomer hapa ofisini kwetu, na kwa bahati mbaya session yetu ina wanawake wengi wengi kuliko wanaume, nikisema hivyo namaanisha maboss wangu wanne ni wa kike na wawili ni wa kiume wote WAMEOA NA KUOLEWA!
na kwa bahati mbaya nimewekwa meza iliyo opposite na boss wangu wa kiume! shida inakuja, kuwa tangu naingia hapa ofisini nahisi huyu mkaka anakosa kuwa huru kabisa, najitahidi sana kwenye mavazi yangu nisije kumtega somehow or other but sijui ni kipi kinachomfanya akose uhuru wake aliyekuwa nao kabla ya mimi kuja hapa! imefikia sasa anakuwa anaenda kujificha library watu wakimuuliza anasema anahitaji concetration zaidi kitu ambacho si sahihi kwa wengi walivyomzoea, nakosa amani naamini mimi ndo cha chanzo cha yote! juzi wakati tupo kwenye mkutano alikuwa akiniangalia mno kiasi kwamba mpaka hawa wamama wamejua kuna hali ya utofauti! sijui nifanyeje jamani wanajf naombeni ushauri! sitaki hawa maboss wangu wa kike waone mimi ndo chanzo!!!
uamuzi uliobaki ni 'umgawie tu hadi aichoke' arudi kwa mkewe
na wewe uendelee na kazi yako bila usumbufu