Nahisi sina bahati na biashara

Pambana hivyo hivyo usichoke Mungu atakufanyia wepesi
 
Wachawi sio lazima wabebe matunguli na kuvaa makaniki na kujipakaa masizi na mganga sio lazima avae mashuka meupe na mekundu akiwa ameshika mkia wa Ng'ombe au Mbuzi na kibuyu
Juzi kati kuna shida nzito ilitupata tuambiwa na jamaa shida imeisha tuandae hela yake laki 3 na ya mganga 700k tukanusa utapeli jamaa akasema hamlipi mpaka iishe shida tukas3ma nn tunaogopa sasa.ile kwenda mwanza kuletewa mganga yaani mdada kama wa miaka 27 na ni pisi kali tena kama shangingi hivi maana kajichubua kiasi chini vikuku na kipini puani asee nkamwambia jamaa tunapigwa.jamaangu akasema ngoja tuone demu alishuhurika ndani ya siku tatu tumemaliziwa shida kwa kishindo kikuu tukatoa milion ya watu.
NAMBA YA MGANGA SINA USIJISUMBUE INBOX
 
Yaani mwezi tubkatika biashara unataka kupata faida hata biashara yenyewe Bado huijui?
 
Mganga MUNGU tu maana hata huyo mganga nae anapiga goti chini anamuomba Mungu ili Mambo yaende aingize Pesa kinyume na hapo Mambo yakiwa tofauti wateja lazima wakimbie
 
Mganga MUNGU tu maana hata huyo mganga nae anapiga goti chini anamuomba Mungu ili Mambo yaende aingize Pesa kinyume na hapo Mambo yakiwa tofauti wateja lazima wakimbie
Uganga ni maarifa yaliyoumbwa na mungu waliyonayo wanadamu .kinachoponya TV ni ufundi wa kutengeneza TV sasa ww TV imeharibika Anza kusema maarifa yote ya mungu uanze kuomba mungu .acha ujinga nenda kwa fundi TV dakika tano TV inapona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…