Nahisi sina bahati na biashara

Ila hio biashara kudhamin kununua nyavu sijui kumiliki wavuvi ujipange lasivyo utapoteza kila kitu
Mkuu kuna waloaji niliwapata nikawadhamini pumba, sehemu ya kulala pamoja na kuwaazima hela si unajua wanavyoomba, yani toka wameanza kulowa wanakuja na kilo moja wakipata sana kilo 3 pumba zinaisha tuu gunia ni elfu 30 plus ninachokipata sikioni we acha tuu.
 
Magumu ni sehemu ya maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…