Mgeni wa Mungu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 1,233
- 1,289
Uzito nilionao una muda wa miezi 3 sasa ninauhisi kwenye kifua kwa ndani mpaka mizizi ya shingo inauma. Naombeni mnisaidie kwa tiba au ushauri, wengine wananambia ni gesi. Lakin naamini hapa nitapatiwa muafaka.
Natanguliza shukrani kwenu
Unamaanisha ninj unaposema uzito ndugu...hebu weka maelezo sawa vile unavyojisikia ili wataalam wakusaidie..maana binafsi nilivyoona uzito nilidhani ni uzito wa kgs bila shaka humaanishi uzito wa kilo so weka sawa maelezo ndugu na pole kwa ugonjwa
Mkuu uzito huu ni wa hisia kama kuna kitu nimebeba ndani ya kifua.
Jaribu hii tiba mbadala tafuna kipande kimoja cha kitunguu saumu kila Unapoenda kulalaUzito nilionao una muda wa miezi 3 sasa ninauhisi kwenye kifua kwa ndani mpaka mizizi ya shingo inauma. Naombeni mnisaidie kwa tiba au ushauri, wengine wananambia ni gesi. Lakin naamini hapa nitapatiwa muafaka.
Natanguliza shukrani kwenu
Uzito nilionao una muda wa miezi 3 sasa ninauhisi kwenye kifua kwa ndani mpaka mizizi ya shingo inauma. Naombeni mnisaidie kwa tiba au ushauri, wengine wananambia ni gesi. Lakin naamini hapa nitapatiwa muafaka.
Natanguliza shukrani kwenu
Nenda kwa Bulldozer anapatikana Vatcan City Hall pale Sinza atakusaidia tatizo lako!
Jaribu hii tiba mbadala tafuna kipande kimoja cha kitunguu saumu kila Unapoenda kulala