S senetor New Member Joined Mar 19, 2013 Posts 3 Reaction score 1 Apr 23, 2013 #1 inakuwaje darasa la saba TCU wanasema ataruhusiwa kujiunga na masomo ya chuo kikuu katika fani apendayo
inakuwaje darasa la saba TCU wanasema ataruhusiwa kujiunga na masomo ya chuo kikuu katika fani apendayo
NZURI PESA JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 5,958 Reaction score 2,954 Apr 23, 2013 #2 Isikupe tabu darasa la 7 wa miaka ya 70-90 WANAUWEZO MKUBWA WAKIWEZESHWA KIELIMU KULIKO DEGREE HOLDER WA MIAKA YA KARIBUNI najua wahusika mtaniangukia maneno makali.
Isikupe tabu darasa la 7 wa miaka ya 70-90 WANAUWEZO MKUBWA WAKIWEZESHWA KIELIMU KULIKO DEGREE HOLDER WA MIAKA YA KARIBUNI najua wahusika mtaniangukia maneno makali.