Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu nini?Najarib kutathmin kwa jinsi gan naweza kuanzisha shule yangu ila mwanga sina wana JF,help please cha kufanya
ukisema shule unmaanisha nini? shule ya chekechea, ya msingi, seconday , chuo cha mafunzo ya mikono(vocational training institute? Ama
baada ya kupata jibu la hayo maswali nazani ndo ntakapoweza kutoa ushauli wangu
Nilitegemea nitapata ushauri jinsi ya kuanza katika ujenzi na vitu kama hvyo,sio pesa kabisa jaman
Kuhusu nini?
NB, siku zote naomba ujue kabla ya kuomba msaada lazima kwanza uanze kujisaidia mwenyewe kwa kujieleza vizuri, maana kwenye kila jambo linalokuhusu mtu wa kwanza ni wewe mwenyewe.