Nahitaj help!!!!!!!!

Kijiti

Senior Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
190
Reaction score
27
Najarib kutathmin kwa jinsi gan naweza kuanzisha shule yangu ila mwanga sina wana JF,help please cha kufanya
 
ukisema shule unmaanisha nini? shule ya chekechea, ya msingi, seconday , chuo cha mafunzo ya mikono(vocational training institute? Ama

baada ya kupata jibu la hayo maswali nazani ndo ntakapoweza kutoa ushauli wangu
 
Nilikua nawaza kuanzisha the best primary school maeneo ya mbez mwisho had kibamba hv
 
Kwa hiyo unahitaji msaada gani? wa pesa? au wakutafutiwa walimu wazuri? make hujafunguka kabisa,
 
Najarib kutathmin kwa jinsi gan naweza kuanzisha shule yangu ila mwanga sina wana JF,help please cha kufanya
Kuhusu nini?
NB, siku zote naomba ujue kabla ya kuomba msaada lazima kwanza uanze kujisaidia mwenyewe kwa kujieleza vizuri, maana kwenye kila jambo linalokuhusu mtu wa kwanza ni wewe mwenyewe.
 
ukisema shule unmaanisha nini? shule ya chekechea, ya msingi, seconday , chuo cha mafunzo ya mikono(vocational training institute? Ama

baada ya kupata jibu la hayo maswali nazani ndo ntakapoweza kutoa ushauli wangu

Nilitegemea nitapata ushauri jinsi ya kuanza katika ujenzi na vitu kama hvyo,sio pesa kabisa jaman
 
Nilitegemea nitapata ushauri jinsi ya kuanza katika ujenzi na vitu kama hvyo,sio pesa kabisa jaman

Naona unataka kuanza na mguu wa kushoto wewe,halafu baadae uanze kusema kuna rushwa Wizarani.

Angalia kwanza hivi vitu vitatu hapa chini kwanza.

Aina ya shule unayotaka kujenga ( Vidudu,primary,Sec,High school au Chuo/madrasa) na taratibu zake zikoje. Taratibu utapata Wizarani/Wilayani.
Soko la shule yako linalenga watu gani ( itikadi). Location ya shule yako ( kiwanja kimepimwa au bado) kama hakijapimwa,kitakupa shida sana kwenye usajiri, ni mjini au huku shambani kwetu. Ni Bweni au kutwa na je mchanganyiko au jinsia moja.

Kama haya umeyafanya, kujenga ni kazi ya kitalaam,watafute vijana waende kilipo kiwanja wakutengenezee master plan ya shule yako. Kisha tafuta mjenzi aanze. Kabla hujaanza kujenga nenda kwa maofisa wa elimu wakupe utaratibu mkuu, unaweza sumbuka sana na majengo yako. Kuna vipimo kwa kila jengo la shule mkuu.
 
Kuhusu nini?
NB, siku zote naomba ujue kabla ya kuomba msaada lazima kwanza uanze kujisaidia mwenyewe kwa kujieleza vizuri, maana kwenye kila jambo linalokuhusu mtu wa kwanza ni wewe mwenyewe.

Yaan hapo umenipa idea nzuri kabisa yaan nimepata light nzuri kabisa Malila
 
Last edited by a moderator:
Kuhusu nini?
NB, siku zote naomba ujue kabla ya kuomba msaada lazima kwanza uanze kujisaidia mwenyewe kwa kujieleza vizuri, maana kwenye kila jambo linalokuhusu mtu wa kwanza ni wewe mwenyewe.

Ur such a great person keep it Malila
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…