dolphien dominic
Member
- Dec 11, 2013
- 15
- 5
Habari zena wana jf naomba kujuzwa kuhusu uzazi naama jinsi ya kuhesabu siku zipi ni za hatari ( baada ya kumaliza hedhi mwanamke anaweza kupata mimba) na zipi sio za hatari ( mwanamke hawezi pata mimba). naomba kuwasilisha