dolphien dominic Member Joined Dec 11, 2013 Posts 15 Reaction score 5 Dec 19, 2013 #1 Habari zena wana jf naomba kujuzwa kuhusu uzazi naama jinsi ya kuhesabu siku zipi ni za hatari ( baada ya kumaliza hedhi mwanamke anaweza kupata mimba) na zipi sio za hatari ( mwanamke hawezi pata mimba). naomba kuwasilisha
Habari zena wana jf naomba kujuzwa kuhusu uzazi naama jinsi ya kuhesabu siku zipi ni za hatari ( baada ya kumaliza hedhi mwanamke anaweza kupata mimba) na zipi sio za hatari ( mwanamke hawezi pata mimba). naomba kuwasilisha
SUZANE JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 740 Reaction score 500 Dec 20, 2013 #2 hujajibiwa kwakua swali hili limekua comon sn hapa, ila kuna thread nyingi sana humu za maswala uzazi, zisome.
hujajibiwa kwakua swali hili limekua comon sn hapa, ila kuna thread nyingi sana humu za maswala uzazi, zisome.
V veronica mihenga Senior Member Joined Apr 4, 2013 Posts 174 Reaction score 43 Dec 20, 2013 #3 Kwa ushauri tu,mleta mada ungejaribu kupitia nyuzi mbalimbali za awali,yamejadiliwa sana hayo maswala uliyoyauliza,
Kwa ushauri tu,mleta mada ungejaribu kupitia nyuzi mbalimbali za awali,yamejadiliwa sana hayo maswala uliyoyauliza,