F fossy Member Joined Apr 20, 2013 Posts 7 Reaction score 1 Jun 8, 2013 #1 Habar wana jamvi,naomben msaada wa kimawazo,ushauri,vitendo na hata ikibid kaz kama nitakuwa nimekizi vigezo ingawa kwa sasa nahitaj zaid mafunzo.nimemaliza chuo kikuu ,shahada ya kiswahili linguistics.
Habar wana jamvi,naomben msaada wa kimawazo,ushauri,vitendo na hata ikibid kaz kama nitakuwa nimekizi vigezo ingawa kwa sasa nahitaj zaid mafunzo.nimemaliza chuo kikuu ,shahada ya kiswahili linguistics.