Jamani sina elimu zaid ya form 4 hivyo nilikua naomba wanajamii wenzangu mnisaidie japo kibarua chochote hata kufagia barabara ili mrad niweze kujikwamua ktk dimbwi hili la maisha magumu!
we unaonekana ni mvivu hivi kazi ya kufagia barabara unakuja kuitafutia jf umeidhalilisha jf hii great thinker labda nikupe ushauli jichanganye katika kazi yoyote hata kama huipendi ndipo utapata mwanga