Nahitaj ushauri kuhusu hili wakuu am serias

Nahitaj ushauri kuhusu hili wakuu am serias

NANKY

Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
65
Reaction score
15
Nina mdogo wangu aliishia form 4 wakampatia mimba shuleni walimfuta sasa nataka aendelee na shule inkuaje wandugu tusaidiane for GODS' SAKE!
 
Tafuta private school aanze Form3 na asipende tena kuskiza nyimbo za bongo fuleva hasa za Snura na Shilole, Pia asipende tena kuiskiza Clouds Fm ya wakina Diva ili asije akashawishika tena, na mwisho aachane na fesubuku akomae na kitabu na mwisho atafanikiwa vizuri sana kimasomo.
 
alifaulu darasa la saba? ka vp tafuta tsm 9 yake. Ka una hela unachongewa kibali cha kukariri kidato na barua ya ugonjwa kutoka hospital ya rufaa nothing its possible Tanzania ka vp nipe hiyo deal nipige hela
 
Back
Top Bottom