Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Nina kazi kidogo kesho Tar. 14.1.2023 Jumamosi nahitaji mwanasheria aniandalie mkataba konki wa Mauziano ya Shamba/ Kiwanja Jiji la Arusha.
Kama kuna mwana JF mwana sheria basi anisaidie tutapoozana ili mradi siku ziende.
Naomba uje inbox uniambie bei yako ikiwezekana nikupe advance uanze kazi ya kuandaa usiku huu
Wasalam.