manento93 Member Joined Jul 19, 2018 Posts 54 Reaction score 33 Dec 29, 2018 #1 Habari, Nawezaje kupata huduma ya fixed account ambayo Nita deposit kwa miamala ya simu kwa namna rahisi na salama? Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
Habari, Nawezaje kupata huduma ya fixed account ambayo Nita deposit kwa miamala ya simu kwa namna rahisi na salama? Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
texaz mc JF-Expert Member Joined Jan 15, 2016 Posts 371 Reaction score 205 Dec 29, 2018 #2 Si uende kwenye mabank ukafungue mkuu. Je unataka benki gani?
tzkwanza JF-Expert Member Joined Dec 27, 2018 Posts 1,568 Reaction score 3,610 Dec 29, 2018 #3 NENDA NMB, WANA INTEREST NZURI SANA KULIKO BENKI ZOTE KWA SASA. RATE YAO 9.5% CRDB NI 5%. HAYO MABENKI MENGINE WALA USIJISUMBUE YANAKUFA KILA SIKU.
NENDA NMB, WANA INTEREST NZURI SANA KULIKO BENKI ZOTE KWA SASA. RATE YAO 9.5% CRDB NI 5%. HAYO MABENKI MENGINE WALA USIJISUMBUE YANAKUFA KILA SIKU.