Nadhan nimeeleweka wakali nisiwachoshe ntakua DODOMA kwa mda wa siku kadhaa almost wiki, anayehusika na mambo ya udalali wa kichwa cha habari, tafadhari tuwasiliane

Ndugu, ingia kwenye website yao. Hazipatikani kwa madalali. Unless uwe unatafuta hizi za kawaida. Nimeingia kwenye website yao nikakuta ziko nyingi tu. Uchaguzi ni wako.