Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,466
Si utumie airbnb utapata chaguo lakoNahitaji Apartment Mwanza maeneo isamilo,Capri point,Ghana,bwiru..maeneo karbu na mji
Iwe na wifi,ulinzi wa kutosha,Tv vyumba vitatu au viwili Ni sawa ,jiko nakaa siku 7 tu
Njoo Pm
AhsanteSi utumie airbnb utapata chaguo lako
Mimi siku hizi kama naenda sehemu kaa kuanzia siku 3 sifikii hotelin wala lodge nazama airbnb nachagua nachohitajiAhsante
Ahsante aiseeMimi siku hizi kama naenda sehemu kaa kuanzia siku 3 sifikii hotelin wala lodge nazama airbnb nachagua nachohitaji