Nahitaji apartment ya bei rahisi Tanga

Nahitaji apartment ya bei rahisi Tanga

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
Wapi napata apartment za bei rais tanga zenye kila kitu. Natakaa kukaa kwa wiki moja!

Kwenu watanga.
 
Nakazia hili swali nami nipo hapa maana nina shughuli na mtoto wa kimanga nataka pumziko kama siku nne flani hapo jijini Tqnga.
 
Acha kuturusha roho, wewe usiyejua tofauti ya rais na rahisi unaweza kukodi apatimenti au nia yako ni kutuonesha nawe unalijua jina apatimenti! Acha hizo nenda kafikie Msambweni.
punguza makasiriko kama una apartment bei poa niambie !! kujua kusoma au kuandika au kiswahili hakuna uhusiano na pesa….
pesa inakuja na mitikasi siyo maandishi
 
punguza makasiriko kama una apartment bei poa niambie !! kujua kusoma au kuandika au kiswahili hakuna uhusiano na pesa….
pesa inakuja na mitikasi siyo maandishi
Gesti zipo nyingi kila kona, unaweza kukodi kwa mwezi bila tatizo, na wamam wakukupikia wapo mitaani, wanakupikia na kufunika kwa kawa ubwabwa wa samaki uliotiwa nazi na viungo vingine, ila uwajulishe jamaa zako wakukumbushe siku unayotakiwa uondoke.
 
gest kwa mwezi gharama
 
Back
Top Bottom