engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
UPO WAPI MKUU UNIPE DILI?Ndugu wana JF
Habari za majukumu, Samahani, nahitaji Asali toka kwa wafugaji, asali hiyo ikidhi haya yafuatayo:-
1. Isiwe imechemshwa.
2.Iwe na uwezo wa kupita test zitakazofanywa na TFDA na TBS
3. Nyuki wawe ni wa porini na ni wale wakubwa
4.Mfugaji au wafugaji wawe na uwezo wa kusupply angarau lita 500 kwa kila mwezi
Kwa mwenye uwezo wa kusupply asali hiyo tuwasiliane kupitia email hii engmtoleraibrahim@gmail.com
Unauza au unataka kununua mkuuNahitaji pia japo si kwa kias hicho...... Tuwasiliane pia kuptia jtesha11@gmail.com
Kununua na kuuza..... RejarejaUnauza au unataka kununua mkuu
Mimi nauza , tufanye biasharaKununua na kuuza..... Rejareja