AbouZakariya
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,646
- 2,403
MKUU ULIZIPATA? maana mi mwenyewe nazihitajiWadau wa jf habari za leo, wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Nahitaji baiskeli hiyo kwa ajili ya ka mradi ambako nimekabuni , tatizo sijajua kwa hapa dar zinapatikana wapi?, baiskeli hizo ni sawa na zile zinazotumiwa na vijana wa bakhresa kuuza bidhaa zake mitaani.
Tafadhali mwenye ufahamu wapi zinakouzwa au kutengezwa kwa hapa dar au nje ya dar anijuze.
Natanguliza shukran.
Kaka sikuwahi kuzipata, vipi wewe hujapata fununu wapi zinapatikana?MKUU ULIZIPATA? maana mi mwenyewe nazihitaji
Wadau wa jf habari za leo, wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza.