Nahitaji Baiskeli

Nahitaji Baiskeli

Ifakara au? Uko si zipo zile swala mkuu unapata ata 50.

Hongera sana kwa kumtafutia dogo Usafiri. Akili kubwa.
 
Dogo ni wa kike au wa kiume.
Kama ni wa kike ninaweza kukuuzia baiskeli niliyonayo kwa shilingi 5000 au hata nikakupa bure. Kama ni wa kiume nauza kwa 200,000.
Kama ni wa kike alafu mweupe nakupa baiskeli bure na kumlipia ada.
Nina roho nzuri Sana, kama huamini kamwulize Ushimen na fimboyaukwaju.
 
NATAFUTA BAISKELI kwa ajili ya Mwanangu kwenda shule Kidato Cha kwanza. Budget yangu ni Tsh. 70,000/= Nipo Kilombero Morogoro
Mkuu Wernery G Kapinga habari za Kilombero, hilo ni eneo langi nimekulia hapo, nimekula sana Ubwabwa na Kitoga!
anyway sasa nenda pale ruaha kuna mama mmoja anauza hizo anaitwa mama Christopher (Mama Kili), Usipopata sema niku link na jamaa wa kariakoo mimi nilishachukua yangu ya mazoezi hapo, Ukishindwa kabisa sema niku link na jamaa wa Tanga nae wanauza itategemea criteria zako!
 
NATAFUTA BAISKELI kwa ajili ya Mwanangu kwenda shule Kidato Cha kwanza. Budget yangu ni Tsh. 70,000/= Nipo Kilombero Morogoro
Uko Kilombero ya wapi? Mkamba, Nyandeo, Kidatu, Mang'ula, Kisawasawa, Mgudeni, Mwaya, Kiberegege, Zignali, Kapolo, Ifakara, Mahutanga, Ihanga, Kihogosi, Idete, Namwawala, Kisegese, Mofu!!

Kilombero kubwa Sheikh. Ukiweka sehemu halisi, ni rahisi muuzaji kujitathmini na kukufikia.
 
Back
Top Bottom