Wernery G Kapinga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 376
- 127
Mkuu Wernery G Kapinga habari za Kilombero, hilo ni eneo langi nimekulia hapo, nimekula sana Ubwabwa na Kitoga!NATAFUTA BAISKELI kwa ajili ya Mwanangu kwenda shule Kidato Cha kwanza. Budget yangu ni Tsh. 70,000/= Nipo Kilombero Morogoro
Uko Kilombero ya wapi? Mkamba, Nyandeo, Kidatu, Mang'ula, Kisawasawa, Mgudeni, Mwaya, Kiberegege, Zignali, Kapolo, Ifakara, Mahutanga, Ihanga, Kihogosi, Idete, Namwawala, Kisegese, Mofu!!NATAFUTA BAISKELI kwa ajili ya Mwanangu kwenda shule Kidato Cha kwanza. Budget yangu ni Tsh. 70,000/= Nipo Kilombero Morogoro