Nahitaji bati kumi ili niweze kuezeka chumba changu

Nahitaji bati kumi ili niweze kuezeka chumba changu

fatherhood

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2021
Posts
537
Reaction score
556
Habari JF,

Sambamba na kichwa cha habari hapo juu, nina boma la chumba kimoja, nahitaji bati kumi ili niweze kuezeka, so yeyote mwenye bati kumi aniuzie kama zilibaki kwenye ujenzi au anazo tu kwa sababu anayoijua mwenyewe.

Natanguliza shukrani.
 
Habari jf,

Sambamba na kichwa cha habari hapo juu , nina boma la chumba kimoja , nahitaji bati kumi ili niweze kuezeka , so yeyote mwenye bati kumi aniuzie kama zilibaki kwenye ujenzi au anazo tu kwa sababu anayoijua mwenyewe .

Natanguliza shukrani.
Bila locationi ni KAZI BURE.
Aya, nina bandari mbili za ALAF, nipo Ushirombo, leta fedha.
 
Habari jf,

Sambamba na kichwa cha habari hapo juu , nina boma la chumba kimoja , nahitaji bati kumi ili niweze kuezeka , so yeyote mwenye bati kumi aniuzie kama zilibaki kwenye ujenzi au anazo tu kwa sababu anayoijua mwenyewe .

Natanguliza shukrani.
Njoo uchukue bure. Ziko hapa Nanjilinji
 
Back
Top Bottom