Nahitaji bati kumi ili niweze kuezeka chumba changu

fatherhood

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2021
Posts
537
Reaction score
556
Habari JF,

Sambamba na kichwa cha habari hapo juu, nina boma la chumba kimoja, nahitaji bati kumi ili niweze kuezeka, so yeyote mwenye bati kumi aniuzie kama zilibaki kwenye ujenzi au anazo tu kwa sababu anayoijua mwenyewe.

Natanguliza shukrani.
 
Bila locationi ni KAZI BURE.
Aya, nina bandari mbili za ALAF, nipo Ushirombo, leta fedha.
 
Tunaomba ABC za Dragon mkuu, kwa maana ya ubora wake, grade na bei
Dragon mabati tunapatikana mikoa ya dar,Mbeya,mwanza,tabora,makambako, Arusha na dodoma na tunafanyaj derivel mikoa yote hapa tz check me 0753535935/0785033500
 
Njoo uchukue bure. Ziko hapa Nanjilinji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…