Parrot_2024
Member
- Dec 16, 2017
- 63
- 28
Nenda mnazi mmoja Narung'ombe na Lumumba. Pale watafute BazaarHabari zenu wakuu,
Naomba msaada kwa anayejuwa mtu anayeuza mtumba ya arabic dress belo kutoka Dubai, Oman or Morocco cream quality.
Nashkuru
Nasubiria mrejeshoNenda mnazi mmoja Narung'ombe na Lumumba. Pale watafute Bazaar
Long dress au baibuiHabari zenu wakuu,
Naomba msaada kwa anayejuwa mtu anayeuza mtumba ya arabic dress belo kutoka Dubai, Oman or Morocco cream quality.
Nashkuru
Yeye auleta hapa auNasubiria mrejesho
Nashkuru mkuuNenda mnazi mmoja Narung'ombe na Lumumba. Pale watafute Bazaar
Long dress inoitwa Arabic dress yaani dresses yenye style ya kiarabuLong dress au baibui