ukuwi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 861
- 1,426
Habari zenu nyote kwa ujumla.
Bila kupoteza muda nilikuwa naomba nielezee tatizo hitaji langu nilikuwa naomba kufahamu ninwapi naweza kupata Betri za Rongta mini thermal printer kwa aliye nazo ama mwenye kufahamu ni wapi naweza kuzipata naomba msaada wako tafandhali.